Alietie fora aligonga na aliua watu 25 kwa ajali, wakati wa mahojiano na traffic haya ndio
yalikuwa majibu yake:
TRAFFIC: Ilikuwaje?
DEREVA: Nilikuwa speed ghafla kundi la watu lilikuwa upande wa kushoto, na mtu mmoja upande
kulia. Na gari lilikuwa halina break, wewe ungefanyaje?
TRAFFIC: Ningegonga mmoja kuokoa wengi.
DEREVA: Ndio ilivyotokea. na yule mpumbavu alivyoona naelekea kwake akakimbilia kule kwa wengi
akifikiri sijamuona, nikamfuata kule kule alikokimbila.
No comments:
Post a Comment