Tuesday, July 24, 2012

Breaking News: Rais wa Ghana John Atta Mills afariki

Kuna Taarifa za kufariki kwa Rais wa Ghana John Atta Mills kwa mujibu wa Reuters ikikaririwa na  Daily Nation, Kenya. Tutawapasha habari zaidi baadae.

No comments: