Thursday, July 26, 2012

Tumevamiwa Mtaani Leo mchana kweupee

 Tembo huyu alituvamia mtaani leo na kusababisha mtafaruku mtaani mchana kweupeeeee. Hapa anavunja mti. ilibidi waliokuwemo ndani wahame kwa muda.


 Zoezi la kuvunja mti likiwa linaendelea

 Baada ya kupigiwa kelele kidogo akabadilisha zoezi la kuvunja mti.

 Akaanza kuvunja matawi ya mti huo.




 Hapa ameshituka kuwa kuna umati wa watu umemzunguka. Kahisi Hatari


 Anasikiliza  adui wapo upande gani.

 Ameshatuona. 

 Hapa ameanza kuja ili kutuvamia baada ya kuhisi usalama wake upo hatarini

 Hapa amechukia alioona Flash ya kamera, alimkimbiza mpiga picha hizi.




No comments: