MAONO YANGU

Monday, August 13, 2012

DR. ULIMBOKA AREJEA SALAMA JIJINI DAR


Kiongozi wa jumuiya ya madaktari nchini Tanzania, Dk. Steven Ulimboka, amerejea leo nyumbani akitoka Afrika Kusini katika matibabu. Dk Ulimboka alipokelewa jana na madaktari wenzake, ndugu jamaa na marafiki, alipowasili Jumapili Agosti 12, 2012, kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea kwenye matibabu Afrika Kusini. Alisema yuko fiti na anaweza kufanya shughuli zozote atakazopewa kuanzia sasa. 
Umati wa watu uliojitokeza kumpokea kumpokea.
DR.ULIMBOKA, ALIPOJERUHIWA, BAADA YA KUPONA NA KABLA YA KUJERUHIWA, 
Posted by Maono Yangu at Monday, August 13, 2012
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

BlogUpp!

About Me

Maono Yangu
View my complete profile

Total visitors

Blog Archive

Search This Blog

Feedjit

My Blog List

  • MICHUZI
    UJENZI BWAWA LA BILIONI 2 LAKAMILIKA.
    11 hours ago
Powered By Blogger

Popular Posts

  • CAN YOU IMAGINE THE EXISTANCE OF THIS KIND OF CLASSROOM IN TANZANIA
    Mswakini juu primary school nursery class at Manyara region in Tanzania
  • UPI NDIO KWELI KUHUSIANA NA HIZI DINI TULIZOLETEWA?
    Binafsi napatwa na mashaka sana linapokuja suala la dini na mapokeo yake hasa hizi dini zilizokuja kwa meli kutoka kwa wenzetu. Nikiwa nim...
  • Totoz za Kibongo tunapokwenda Ndipo? Sema ni yupi mwenye picha yenye Tatoo kati ya hawa?
  • Judy Boucher - Cant Be With You Tonight [totp2]
  • Evolution of Men V/s Women
  • Berry White - Kwa Uchungu Naimba
  • Nauliza kuna Muislam Hapa??????????/////
    Jamaa kajitoma mskitini ghafla, huku majasho yanamtoka! Mkononi kashika panga kali, Akauliza, "Nani muislamu hapa?,"   Watu k...
  • Rehab - Bartender Song (Sittin' At A Bar)
  • MINJINGU - BABATI ROAD, PART READY IN USE
    SEHEMU YA BARABARA MAENEO YA KIONGOZI WATUMIAJI WANAONEKANA WAKIWA BARABARANI ENEO HILI LILIKUWA KOROFI SANA HASA WAKATI WA MVUA ...
  • KISWAHILI KWENYE COMPUTER
    Plans are already at an advanced stage for the Swahili language  to be incorporated in MS Applications. Let’s take a sneak peek at  deve...
WOTE MNAKARIBISHWA SANA
Travel theme. Powered by Blogger.