Thursday, September 27, 2012

Picha inaonyesha Askari Polisi waliofika eneo la uwanja wa kilombero , lakini sasa mambo Shwari wameondoka bila vurugu zozote!



Lilifika Gari la kwanza
Hali ilipozidi kuwa tete yakaongezeka Mawili
Sasa Yamekuwa matatu na yote yamejaa FFU kwa ajili ya kulinda usalama wa wananchi..

Hata Hivyo mpaka tunapo toa Taarifa muda huu Polisi hao wamesha ondoka eneo la tukio, na mambo ni Shwari kabisa, Taarifa kamili itawaajia baadae. 
Hili lilikuwa tuu ni tukio Live katika picha kuwaonesha jinsi mambo yanavyo kwenda pande za Arusha 

PICHA ZOTE NA 

No comments: