Wednesday, July 18, 2012

Tetesi ya kuzama meli leo huko Zanzibar


Kuna tetesi meli iliyobeba abiria takribani 200 imezama ikitokea Dar es salaam kwenda Zanzibar mchana huu, karibu na kisiwa cha Chumbe. Juhudi za uokoaji zinaendelea. Tutawajulisha habari zaidi

No comments: