Friday, August 3, 2012

Breaking News- Mlipuko mkubwa wa bomu watokea Nairobi

Habari tulizozipata hivi punde ni kuwa kumetokea mlipuko mkubwa wa bomu jijini Nairobi karibu na kikosi anga cha Moi na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine wengi kujeruhiwa. Hii inatokea wakati waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bibi Hillary Clinton akisubiriwa kutua Nchini Kenya hivi punde. Habari zaidi tutawatumia kadiri tutakavyozipata.

Habari hii ni mujibu wa SAUTI YA AMERIKA.

No comments: