Monday, August 13, 2012
DR. ULIMBOKA AREJEA SALAMA JIJINI DAR
Kiongozi wa jumuiya ya madaktari nchini Tanzania, Dk. Steven Ulimboka, amerejea leo nyumbani akitoka Afrika Kusini katika matibabu. Dk Ulimboka alipokelewa jana na madaktari wenzake, ndugu jamaa na marafiki, alipowasili Jumapili Agosti 12, 2012, kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea kwenye matibabu Afrika Kusini. Alisema yuko fiti na anaweza kufanya shughuli zozote atakazopewa kuanzia sasa.
Umati wa watu uliojitokeza kumpokea kumpokea
.
DR.ULIMBOKA, ALIPOJERUHIWA, BAADA YA KUPONA NA KABLA YA KUJERUHIWA
,
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment