![]() |
mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel, msichana Malala Yousafzai. |
Malala alituzwa tuzo la nobel kutokana na juhudi zake za
kupigania haki ya elimu kwa wasichana wa Taliban ambao kwa mujibu wa desturi za
kitaliban haswa katika eneo la Swat walikuwa hawaruhisiwi kupata elimu. Madaktari
bado wanatafakari ikiwa wampeleke nje ya nchi kwa matibabu zaidi.
Kundi la Taliban lilisema lilihusika na shambulizi hilo. Malala
Yousafzai aliwahi andika kitabu cha kumbukumbu zake binafsi kwa niaba ya BBC
miaka mitatu iliyopita wakati eneo la Swat lilipokuwa linadhibitiwa na kundi la
Taliban. Wanasiasa nchini Pakistan, walilaani shambulizi hilo huku Marekani
ikilitaja kama kitendo cha uoga
No comments:
Post a Comment