| Balloon likiandaliwa kwa ajili kuruka |
| Tayari kwa kuruka. Abiria wanatakiwa kupanda wakati huu |
| Safari inaanza. Ni raha ajabu |
| Balloon Linavyoonekana likiwa juu |
| Balloon likiwa angani |
| Juu juu kabisa |
| Ukiangalia toka juu kwenye balloon, inapendeza sana |
| Mnapopita juu ya majengo, yanavyoonekana toka juu kwenye balloon |
| Tulipita juu ya hotel hii, mandhari ya kupendeza sana |
| Muda wa kutua ukafika. inaitwa "Crush landing" panakuwa na kazi kidogo kwa waoga |
| Safi sana tumetua salama. Vipi hujatamani tu kutumia usafiri huu? |
No comments:
Post a Comment