Friday, July 6, 2012

Usafiri wa Wagombea Urais wa Marekani - Tujifunze hapa


Obama Presidential bus campaign 2012 (Democrats) 


 

Buses for Republican Presidential campaign 2012 

 
 
Mashindano ya matumizi makubwa ya pesa kipindi cha Uchaguzi nchini Tanzania yanatia dosari kutokana kutokuwa makini na kipi muhimu na kugawanya nguvu.  Wamarekani Wenzetu badala ya kuagiza magari 200 kwa ajili ya kampeni za chama kimoja, serikali inathibiti kwa kila chama kupewa Bus kwa ajili ya kampeni.  

Tume ya Taifa ya uchaguzi Tanzania wakati wa uchaguzi inatakiwa kuwagawia vyombo vya usafiri kama ifanyavyo Marekani hii itasaidia kupunguza matumizi makubwa katika kampeni za vyama. Na kuifanya nchi kuwa na fedha baada ya uchaguzi kumalizika.

No comments: