Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba leo Ikulu jijini Dar es salaam
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mkuu wa Jeshi la kujenga Taifa (JKT)
![]() |


![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Raphael Mugoya Muhuga na familia yake baada ya kiapo.
|
No comments:
Post a Comment