Mchawi huyu hakujua kama jamaa alikuwa kategesha Camera chumbani kwake, hapa kakutanika akiwa ana wanga. Ila jamaa baada ya kuona picha hii asubuhi na alivyoamka amechoka, ilibidi ahame mji. |
Hii imetokea kwa mfugaji mmoja baada ya ng'ombe kula mazao ya kwenye shamba la bibi kizee mmoja huko Sumbawanga. Jamaa wako fit kinoma. |
No comments:
Post a Comment