Wednesday, October 10, 2012

Wanaume wenye kasoro hizi hujikweza sana kwa wanawake kwa njia mbalimbali, mfano, msgs, facebook, picha mbalimbali nk...

1: Wanaume WAFUPI
Hawa hawajiamini siku zote.... ni wengi ni wa show off kwa mademu, hasira kwao ni jadi... wanawake wengi huwachukia.... wanajisifia kwa vyote kuficha kutokujiamini kwao.... ukiwasikiliza utashangaaaa...

2: Wanaume MASKINI ILA ANAPENDA USHAROBARO
Hawa sina la kuwaelezea.... utafikiri Jay-Z au P-Diddy 
kwa nje.... Ila sasa wajue walivyo utashangaaa, ila wanawalamba mademu wa shapshap ambao hawana serious future relationship.......wanajisifia kuficha HALI YAO HALISI NGUMU....

3: Wanaume wanaojifanya WAJUAJII
yaani hawa waangalie sana wanataka waonekane wanajua....kila kitu....tena atabishana hata na mtaalamu wa fani fulani.... YOTE KUFICHA MAPUNGUFU YAO.... YA KUTOKUJUA, labda ana kiwango kidogo cha elimu etc....

4: WANAUME WENYE FEDHA HALAFU MASKINI WA ELIMU
Hawa hawana tofauti na sharobaro, opposite is true....



No comments: