SEHEMU YA BARABARA MAENEO YA KIONGOZI |
WATUMIAJI WANAONEKANA WAKIWA BARABARANI |
ENEO HILI LILIKUWA KOROFI SANA HASA WAKATI WA MVUA |
MAGARI YAKIPISHANA |
MLIMA WA KIONGOZI, HAUPO TENA, ILIKUWA KAMBI YA MAJAMBAZI |
PICHA IONEKANAVYO TUKIWA NDANI YA GARI |
KONA NA MTEREMKO |
DARAJA MTO KIONGOZI |
KARIBU NA MJI MDOGO WA MAGUGU |
MAGARI HAYA YALIKUWA YANAPATA TAABU SANA KWENYE BARABARA HII. SASA HIVI WANACHEKELEA |
MAGARI YA MKANDARASI |
TIMU YA MKANDARASI IKIWA KAZINI NDANI YA MJI MDOGO WA MAGUGU |
TIMU YA MKANDARASI IKIWA KAZINI NDANI YA MJI MDOGO WA MAGUGU |
TIMU YA MKANDARASI IKIWA KAZINI NDANI YA MJI MDOGO WA MAGUGU |
TIMU YA MKANDARASI IKIWA KAZINI NDANI YA MJI MDOGO WA MAGUGU |
HAYA NDIO MAENDELEO TUNAYOYATAKA. TUNATEGEMEA MPAKA MWISHO WA DECEMBER, 2010 BARABARA YA MINJINGU - BABATI ITAKUWA IMEKAMILIKA |
1 comment:
Bado chini ya 15km ikamilike yote, ie. 60km. wapo maeneo ya Mdori. Hii ni update nawapa.
Post a Comment