| SEHEMU YA BARABARA MAENEO YA KIONGOZI |
| WATUMIAJI WANAONEKANA WAKIWA BARABARANI |
| ENEO HILI LILIKUWA KOROFI SANA HASA WAKATI WA MVUA |
| MAGARI YAKIPISHANA |
| MLIMA WA KIONGOZI, HAUPO TENA, ILIKUWA KAMBI YA MAJAMBAZI |
| PICHA IONEKANAVYO TUKIWA NDANI YA GARI |
| KONA NA MTEREMKO |
| DARAJA MTO KIONGOZI |
| KARIBU NA MJI MDOGO WA MAGUGU |
| MAGARI HAYA YALIKUWA YANAPATA TAABU SANA KWENYE BARABARA HII. SASA HIVI WANACHEKELEA |
| MAGARI YA MKANDARASI |
| TIMU YA MKANDARASI IKIWA KAZINI NDANI YA MJI MDOGO WA MAGUGU |
| TIMU YA MKANDARASI IKIWA KAZINI NDANI YA MJI MDOGO WA MAGUGU |
| TIMU YA MKANDARASI IKIWA KAZINI NDANI YA MJI MDOGO WA MAGUGU |
| TIMU YA MKANDARASI IKIWA KAZINI NDANI YA MJI MDOGO WA MAGUGU |
| HAYA NDIO MAENDELEO TUNAYOYATAKA. TUNATEGEMEA MPAKA MWISHO WA DECEMBER, 2010 BARABARA YA MINJINGU - BABATI ITAKUWA IMEKAMILIKA |
1 comment:
Bado chini ya 15km ikamilike yote, ie. 60km. wapo maeneo ya Mdori. Hii ni update nawapa.
Post a Comment