Saturday, August 27, 2011

MATUMIZI MABAYA YA KODI ZA WANANCHI

Najaribu kujiuliza hivi kama wewe ni mke, girlfriend au hata nyumba ndogo wa mmoja wa hao wanaolisukuma gari la Jairo, ungejisikiaje pindi ulipoiona hii picha kwenye vyombo vya habari ukitegemea asubuhi na mapema mpenzi wako alikuaga kwa mabusu makali kuwa anakwenda kazini?  Na kazi yenyewe eti ndo hii...............

No comments: