Sunday, August 19, 2012

" ONLY IN TANZANIA! Yapo Maajabu mengi sana...Ila Maajabu haya yapo Tanzania tu.

TUMEKWISHA NCHI HII KWA HAYA
1. Mmoja wa Majaji Walioteuliwa kwa Mujibu wa Tundu Lissu Kumbe ndo kwanza anasoma
   shahada so darasani nae anasoma"What is Law of Torts" then anapata SUP...U can Only
   find in TZ..
 

2. Serikali Makini ina Watumishi Hewa 9,949 wanaopata Mshahara ambao Jumla ya hela
   inayopotea ni kama Bil 70 ambazo zingetumika kulipa Madaktari na walimu, lakini Serikali
   inasema haina hela, hawana hela ya kulipa walimu na Madaktari ila wanazo za Watumishi
   hewa...Only u can find in TZ. 

3. Serikali Ya Uingereza Ilirudisha Chenji ya RADA, Serikali ikasema hela inapeleka Kununulia
   Vitabu kwa Ajili ya Shule Nchi nzima, Kumbe Kampuni iliyopewa tenda ya Kusambaza Vitabu  
  nchi nzima ilitoa rushwa ya dola 500,000 kupata tender Serikali ya Uingereza imeifungia
   miaka 7, You Can Only find in TZ. 

4. Wanafunzi Waliofaulu Darasa la Saba (get me well waliofaulu darasa la 7) kwenda
  Sekondary Hawajui Kusoma wala Kuandika, Je waliofeli Watakuwa hawajui kufanya nini...You
  Can Only Find In Tanzania 

5. Washiriki wa Michezo ya Kimataifa (sijataja Mchezo wala mashindano) wako watano (5)
    lakini wanaowasindikiza Washiriki wako 12, na kurudi bila medali hata moja. You can Only
    find in Tanzania...... 

6. Sehemu Pekee ambayo Mtu anayetuhumu ulitaka Kumdhuru kwa Kukusumbua then
    unaomba Umlinde  (refer to Ulimboka's Case)..Yaani Mbwa Mwitu anaomba kazi ya Kulinda
    Mbuzi......You Can Only find in Tanzania.." 

7. ......ongezeeni

Source: Jamii Forrums


No comments: