Zamani wanaume ndio walikuwa wakiogopwa kwa kuwapiga na kuwanyanyasa
wake zao. Siku hizi inaelekea mambo yamekuwa kinyume...wanawake ndio
wanaogopewa zaidi kwa ubabe na vurugu...
"bado fimbo sita..weka vizuri mgongo...shwain weee.."
No comments:
Post a Comment