![]() |
| Eti Malawi hii hapo juu ndio Ramani wanayoitambua. Ziwa Nyasa, kwao linaitwa Ziwa Malawi lote lipo kwao na Msumbiji tu. sisi hatuna hayo maji kabisa. |
![]() |
| Hii sasa ndio ramani ya Tanzania tunayoitambua mpaka unapita katikati ya Ziwa Nyasa Mnasemaje waungwana?????? |


No comments:
Post a Comment