Askari wa Jeshi la wananchi wakiwa wamebeba moja ya jeneza la mwili wa askari wa jeshi hilo kati ya watatu waliofariki kwa ajali ya maji wakati wakivuka mto Lamada, Sudani walikokwenda kulinda amani chini ya jeshi la umoja wa Mataifa. Shughuli hiyo ilifanyika Lugalo jijini Dar es Salaam
Askari wa Jeshi la wananchi wakingiza miili ya marehemu katika Gari tayari kwa safari ya kuelekea mikoani kwa ajili ya Mazishi
Mkuu wa Majeshi ya Tanzania (CDF) Jenerali Devis Mwamunyange akimfariji mke wa mmoja wa askari waliofariki Bi, Fatuma Chunguile
Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama nchini (CDF) Jenerali Devis Mwamunyange akitoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu
No comments:
Post a Comment