Hivi Ndivyo wananchi wanavyo Choma matairi muda huu kwenye uwanja ulio jirani na soko la Kilombero ambao uliuzwa kinyemela na sasa wananchi wameurudisha na kuuufanya soko.
Hapa Wananchi wakati wanachoma Mbao pamoja na kuchoma Matairi na wananchi wengine wanabomoa bomoa uzio
Muda mchache sasa Fire wamesha fika kwa ajili ya kuzima moto, wakati huo dalili za vurugu ndio zinanukia kuanza
No comments:
Post a Comment