Saturday, September 29, 2012

Nani anataka dola milioni 64 bila kutoa jasho jingi? Hii ni kwa mtu atakayefaulu kumtongoza binti wa tajiri huyu


Hii itakuwa nyepesi mno kwa jamaa wa Bongo Tanzania, au Mombasa. Uganda mtaweza?.
Tajiri mmoja nchini Hong Kong ametoa zawadi ya dola milioni 64 za kimarekani kwa mtu yeyote atakayefaulu kumtongoza binti yake bi Gigi Chao na akubali kuolewa nae.
Tatizo ni kuwa bi Chao ni msango au Msagaji, au lesbian. ikimaanisha kuwa ni mwanamke anayependa kufanya mapenzi ya jinsia moja. Pia bi Chao mwenye umri wa miaka 33 sasa tayari amefunga ndoa kisirisiri na mwanamke mwenzake
Kama unajiona unamudu Unataka kupata dola hizo milioni 64 za kimarekani mtongoze, Bi Chao, ufaulu kumuondoa katika ndoa hiyo na mwanamke mwenzake na ufaulu kumuoa. Kama unaweza niandike nikuunganishe na tajiri huyo wa Hong Kong

No comments: