1. Kwangu amefika
2. Kama we mjuzi chachandu za nini?
3. Si umezoea kusema, Kaseme tena
4. Ikitoka ntaingiza
5. Sijamtaka nikimtaka namchukua
6. Kama huna mafuta paka mate
7. Mola niangazie
8. Unacho mnyima mie nampa
9. Mwanamke umbea kusutwa suna
10. Mganga Mungu
11. Hujakoma tu?
12. Kama wamridhisha asinge nifuata
13. Halua huliwa bila dua
14. Hujui kuosha si ajabu kakutosa
15. Kwako kijiti kwangu mti
16. Kama mie sahani wewe kawa
17. Sio mizizi ninakuzidi ujuzi
18. Hasidi hana sababu
19. Huu mwili wako anza upendako
20. Twaila nyama wewe mfupa ukimnyima sie twampa
No comments:
Post a Comment