Wednesday, December 22, 2010

HILI NI ANGALIZO KWA WANAOTAKA KUOA

kulingana na utafiti wangu binafsi, ukioa mwanamke mwenye sifa zifuatazo: 
1. Mweupe naturally bila kujichubua, 
2. Umbo la nane 
3. Macho ya kurembua naturally 
4. M--a--t--a--ko makubwa ya mviringo 
5. M-a-t-a-k-o malaini na yanayotikisika kama yanadondoka 
6. Awe anajua kama ana sifa zote hizo 


Nadharia tete 
1. 90% ya wanaume wa bongo na Waafrika kwa ujumla wanapenda sifa hizi 
2. Mwanamke kama huyo atatongozwa kila atakakopita huku akimwagiwa misifa kibao 
3. Kama ni mwaminifu ata - resist sana.
 
Lakini mwishowe... 
Atakuja kudinywa na mmoja tena kidinyo cha nguvu (omba Mungu usifahamu)
 
Kwa sababu 
4. FREQUENCY OF KUTONGOZWA IS DIRECTLY PROPORTIONAL TO KUDINYWA. ZE MORE THE KUTONGOZWA THE HIGHER THE PROBABILITY OF KUDINYWA.
 
Conclusion 
Hivyo basi, Ukiepuka wa aina hiyo unapunguza possibility ya kudinyiwa, all other factors remaining constant. 

NB: Naomba msini -Quote vibaya sina maana kuwa wote wenye sifa tajwa ni wahuni bali wanasumbuliwa sana na wanaume na mwishowe huachia na wanasahau kama wameolewa.
 
wanaopinga utafiti huu wanene

No comments: