Baadhi ya watu wakiangalia ajali ya daladala lenye namba za usajili T 871 BGY
linalofanya safari zake kati ya Mwenge na Temeke lililogongana na pikipiki katika
makutano ya barabara ya Chang’ombe na Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
(Picha na Habari Mseto Blog)
|
No comments:
Post a Comment